Tuesday, December 23, 2014

MMMH: MCHEKI AMBER ROSE AKIMKATIKIA MAUNO YA NGUVU CHRIS BROWN!! *PICHAZ*

UKIWAWEKA watu wawili maarufu kwenye
chumba kimoja ambao hivi karibuni wametoka
kuachana na wapenzi wao ndio unapoata
kilichotokea kati ya Chris Brown na Amber
Rose.
Amber, Black Chyna wamekutana na Chris
brown kwenye club maarufu huko holiwood na
kujiachia usiku kucha, huku marafiki wa Chris
wakiona kama ni drama nyingine inakuja kati
ya Chris Brown na washkaji zake wawili Tyga
na Wiz Khalifa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI