Tuesday, December 23, 2014

MFAHAMU MTANZANIA ALIEANDIKA KITABU KINACHOTUMIKA KUWAFUNDISHIA WAZUNGU KIINGEREZA VYUO VIKUU, MAREKANI

Name:  Desk Top.jpg
Views: 0
Size:  27.3 KB
Anaitwa Professor Mbele.
NI lecture katika chuo maarufu Marekani kinachoitwa St. Olaf College in Northfield, Minnesota, Professor ni Mtanzania alisoma na kukulia Tanzania. Ila anafundisha somo la literature huko Marekani. Yaani anawafundisha Wamarekani Kingereza.
Kitabu ambacho amekiandika kinaitwa Africans and Americans: Embracing Cultural Differences.
Kitabu hiki kujadili tofauti kati ya utamaduni wa Kiafrika na Marekan.
Ni kitabu ambacho kimempa yeye na Tanzania umaarufu dunia nzima. Universities nyingi Marekani kinatumia kitabu chake kufundishia.
Ninatamani serikali yetu kumuenzi huyu Professor alieletea heshima kubwa nchi yetu hata kumpa mtaa mmoja au barabara moja iitwe jina lake. mfano Mbele street etc. Lakini nchi yetu wasomi huwa hawaenziwi. Wanasiasa tuu ndio ambao wanaenziwa.
Kila la heri Prof Mbele. Keep it up!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI