Friday, December 26, 2014

HUYU NDIYE MWANAMKE ATAKAYEOLEWA NA MENEJA WA WEMA SEPETU MARTIN KADINDA HIVI KARIBUNI!


Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda akiwa na Jackie Cliff. 
MBUNIFU wa mavazi Bongo, Martin Kadinda, amesema kuwa baada ya kuishi bachela kwa miaka mingi amepanga kuoa ‘ soon’ mwanamke ambaye ni mpenzi wake wa siku nyingi ili kumaliza maneno ya watu kuwa hajiwezi.Akizungumza na Amani, Kadinda alisema kuwa mwanamke anayemuoa si aliyezaa naye mtoto bali ni mwanamke aliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu na tayari anatambua tabia zake hivyo hana shaka juu ya kuishi kwao pamoja.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI