Saturday, December 27, 2014

CHEKI VIDEO MPYA YA D’BANJ - FEELING THE NIGGA’, MASHABIKI WAPONDA JINA LA WIMBO

HII video mpya ya msanii wa Good Music D’ Banj iliyopewa jina ‘Feeling the Nigga’. Ni jina la wimbo lililoshangaza wengi kwani sio kawaida kwa msanii wa Africa kutumia neno Nigga kwenye wimbo wake.
Wasani kutoka Africa hutumia neno hilo mara chache kwenye nyimbo zao ila sio kwenye jina la nyimbo kama alivyofanya D’ banj . Je ndio umagaribi umemshika ? bonyeza play kuitazama.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI