Sunday, December 28, 2014

CHEKI CHRISS BROWN ALIVYOSPEND CHRISTMAS NA GIRL WAKE KARRUECHE *PICHAZ*

Chris & Che
MOVIE bado inaendelea baada ya  ile couple isiyoishiwa visa na vituko kati ya mwimbaji Chris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran, kuibuka na headline nyingine mpya siku ya Christmas.
Chris Brown ameonekana akiwa na Karrueche wake wakispend pamoja usiku wa Alhamis kuamkia Ijumaa ndani ya Playhouse Club, Los Angeles halafu mchana wa Ijumaa wakakutwa tena mtaani wakiwa matembezi na mbwa wao, kwa amani kabisa.
Karrueche, alipost picha ikionyesha vidole vyake vikiwa na pete za almasi siku ya Christmas, wanaudaku wa Marekani wanasema zilitoka kwa Chris kama zawadi ya sikukuu, huku wengine wakisema pete mojawapo ni ya uchumba.
karruecehe-tran-diamond-ring-from-chris-brown-lead

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI