Friday, November 7, 2014

"SINA MPANGO WA KUOLEWA, BADO NAKULA UJANA" - HAMISA MOBETO

MREMBO ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana.
Akizungumza na mwandishi wetu, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana.
“Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa, mimi bado binti mdogo sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo ni mipango ya Mungu kila kitu kinaenda kwa wakati, muda utakapowadia nitaolewa,” alisema Hamisa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI