WANASAYANSI na madaktari nchini Urusi wamestaajabishwa na mtoto mwenye umri wa miezi tisa ambaye mwili wake umekuwa ukitoa maandishi katika lugha ya kiarabu yakinukuu vipande vya maneno katika Quran. |
Mtoto
Ali Yakubov mwenye umri wa miezi tisa amepata umaarufu mkubwa na amekuwa gumzo
dunia nzima baada ya taarifa za miujiza yake ambapo maneno tofauti tofauti ya
kiarabu kuanza kutokea kwenye mwili wake.
Maandishi
ya kiarabu yanayonukuu aya za Quran yamekuwa yakitokea kwenye mikono yake,
miguu na tumboni na kisha kutoweka baada ya siku kadhaa na kisha maandishi
mengine ya kiarabu yanayonukuu vipande tofauti vya aya za Quran hujitokeza
upya.
Madaktari nchini Urusi hadi leo bado hawajui nini kinaendelea kwenye mwili wa mtoto huyo ambaye maandishi ya kwanza ya kiarabu yanayosema neno "Allah" yalijitokeza kwenye kidevu chake ndani ya wiki moja baada ya kuzaliwa.

0 comments:
Post a Comment