Rapper
Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za
kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa
bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye mwili wa Eminem
haswa kwenye sura yake.
Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.
Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.
0 comments:
Post a Comment