Thursday, November 27, 2014

MAPENZI KIZUNGUMKUTI:: KOMENT YA WEMA YAWASHTUA WENGI KATIKA PICHA YA DIAMOND AKIPIGANA BUSU NA ZARI ZE BOSS LADY

WEMA Sepetu amejibu koment ambayo wengi wameshtushwa na kujiuliza mara mbilimbili hivi ni kweli hiyo ilikuwa akaunti yake iliyojibu au ni mchezo tu wa hackers wameshafanya yao.
Alikoment 'WOW' kama ameshangaa au amekubaliana na kile alichokiona katika picha ya Diamond na mwanadada Zari ze Boss lady wakinywa 'juisi nzitoooo'
Nawe mdau wetu unaweza kutoa koment yako juu ya hili.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI