| Kijana akikatisha barabarani kwenda upande wa pili wa daraja |
| Kijana akining'inia darajani,hatukuweza kujua nini kimemsibu kijana huyo |
| Baadaye aliamua kutoka darajani kisha kuanza kukimbia hivyo barabarani kisha kulala barabarani |
| Akiwa amesemama barabarani.Mpaka tunaondoka eneo la tukio wasamaria wema walijitokeza kumkamata kisha kumvalisha nguo baada ya tukio hilo kuduma takribani dakika 30 |











0 comments:
Post a Comment