Thursday, November 20, 2014

ANGALIA PICHA 3 ZA LORI LIKITEKETEA KWA MOTO

Lori lilokuwa limebeba shehena ya Mapipa ya Lami likiteketea kwa Moto eneo la Mikumi Mkoani Morogoro Barabara kuu ya Morogoro Iringa.
Mashuhuda wakiangalia jinsi Lori lilokuwa limebeba shehena ya Mapipa ya Lami likiteketea kwa Moto eneo la Mikumi Mkoani Morogoro Barabara kuu ya Morogoro Iringa.
 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI