Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari hii leo. Kulia ni Mbunge mwenzake wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Isa Tasilima.

Shy-Rose Bhanji akionesha moja ya picha za makamishna waliodai kujiuzulu nyadhifa zao lakini bado walikuwa wakiongoza kamati zao.
0 comments:
Post a Comment