Sunday, October 5, 2014

ICHEKI VIDEO MPYA YA KEYSHA COLE FT 2 CHAINZ “N*GGA LIKE U”, AMBAYO NI SAMPLE YA WIMBO WA R KELLY

Keyshia-Cole-NLU-video-2-600x248
WIKI moja kabla ya kutoka kwa album ya Keyshia Cole inayoitwa Point Of No Return, Keyshia ametoa video mpya ya wimbo wake aliofanya na rapper 2 Chainz ‘N.L.U’ ambayo ni sample ya wimbo wa R Kelly wa mwaka 1995 “Baby, Baby, Baby, Baby ila Keyshia ameupa jina N.L.U Ilimaanisha “N*gga Like U”.
Wimbo unazungumzia mwanaume aiye mwaminifu kwenye mapenzi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI