Thursday, October 16, 2014

WAKAZI WA KUNDUCHI WAFANYA MAANDAMANO MAKUBWA...! SABABU IKO HAPA!

NB: Picha hii haihusiani na maandamano ya Kunduchi yaliyofanyika hii leo.
***********
Wakazi wa Kunduchi Dar leo wameandamana kwenda kituo cha polisi Wazo wakidai kukamatwa kimakosa ndugu zao kwa uhuni na uvutaji wa bangi.
Tafadhali endelea kuwa nasi kwa habari zaidi juu ya maandamano hayo.!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI