Thursday, October 16, 2014

TAZAMA PICHA 10 BORA ZA RAIS KIKWETE ZILIZOWAGUSA WENGI NCHINI TANZANIA

WANANCHI wengi wanaamini hizi ndizo picha ambazo zinawagusa kuliko picha zozote zile za Rais Dkt. Jakaya Kikwete ambazo amewahi kupiga katika uongozi wake kwani ni picha ambazo zinaguza moja kwa moja maisha na matatizo mbalimbali ya watu katika jamii anayoiongoza.

Rais Kikwete akiongea na mlemavu mmoja, Jijini Mwanza.

Rais Kikwete akiongea na bibi mmoja, Mkoani pwani.


Rais Kikwete akiongea na mlemavu.
?????
Rais Kikwete akiongea na mtoto mlemavu, Jijini Tanga

Rais Kikwete akiongea na mwanafunzi ambaye ni mlemavu katika moja ya ziara zake.

Rais Kikwete akiongea na mlemavu

Rais Kikwete akimsikiliza kwa makini mlemavu.

Rais Kikwete akisalimiana na mlemavu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI