Friday, October 17, 2014

UONGOZI WA MSANII T.I WASHIRIKI SEMINA YA FURSA NDOGO YA WASANII NA WADAU WA MUZIKI NDANI YA UKUMBI WA LITTLE THEATHER, JIJINI DAR.

Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuwasili chini , kwa ajiri ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta 2014 hapo kesho katika viwanja vya Lidaz Club jijini Dar, Jonson Geter wa kwanza kushoto akifafanua jambo moja ya swali lililoulizwa na mmoja wasanii walioshiriki kwenye semina ya fursa ndogo ya Wasanii na wadau wa muziki iliyofanyika kwenye ukumbi wa Litle Theather,jijini Dar,Pichani kulia ni Prodyuza mahiri wa Muziki wa hapa nchini anayemiliki studioo yake ya Bongo Records,P-Funk Majani.
Aidha Uongozi wa msanii huyo T.I leo umeshiriki kwenye semina ya fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika biashara ya Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa kuangalia fursa za mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati msanii anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu ya Jitathmini Jiamini Jiongeze.
Sehemu ya meza kuu iliyoshiriki semina ya fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika biashara ya Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa kuangalia fursa za mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati msanii anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu ya Jitathmini Jiamini Jiongeze.
Mwimbaji wa bendi ya muziki wa dansi ya Skylight Band,Annet Kushaba akiuliza swali kwa uongozi wa msanii T.I kutoka nchini Marekani,kwenye fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika biashara ya Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa kuangalia fursa za mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati msanii anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu ya Jitathmini Jiamini Jiongeze. 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva atambulikae kwa jina la kisanii la CPWA akiuliza swali kwenye semina ya fursa ndogo iliofanyika leo jjini dar.
Msanii wa bongofleva ajulikanae kwa jina la Witness akiuliza swali kwa uongozi wa msanii T.I kutoka nchini Marekani,kwenye fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki iliofanyika kwenye ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar kuzungumzia Fursa zilizoko katika biashara ya Muziki, Mada iliyoongelewa ni namna ya kujiongeza kwa kuangalia fursa za mbalimbalizi zilizomo kwenye tasnia hiyo na wakati msanii anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio. Fursa 2014 inakaulimbiu ya Jitathmini Jiamini Jiongeze. 
Baadhi ya wapenzi na wadau wa muziki walioshiriki senina ya fursa wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.
Baadhi ya wapenzi na wadau wa muziki walishiriki pia.Kulia ni Msanii kutoka kampuni ya NO Fake Zone Linah na Rechael kutoka THT.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI