Sunday, October 5, 2014

PAKA WA AJABU DUNIANI: AVUNJA REKODI BAADA YA WIMBO WA TAIFA KUPIGWA, ANGALIA ALICHOKIFANYA HAPA! *VIDEO*

Screen Shot 2014-05-29 at 9.49.45 AM

NI kawaida, kwa heshima ya wimbo wa taifa kila raia wa nchi husika husimama au kutii taratibu zote za utulivu kila wimbo wa taifa unapopigwa.

Sasa kwenye hii ya leo ni kuhusu Paka mmoja huko Urusi ambae aliamua kufata taratibu hizo za binadamu kwa kusimama sekunde chache tu baada ya kusikia wimbo huo ukipigwa kutoka kwenye simu ya mwenye nyumba.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI