Mwili
wa msanii 'YP' ambaye alifariki usiku wa kuamkia juzi katika hospitali
ya Temeke Jijini Dar es salaam, umezikwa jana kwenye makaburi ya
Chang'ombe.
MWILI
wa marehemu YP uliagwa jana mchana huko TCC Sigara Chang'ombe ambapo
wasanii na wadau mbalimbali katika tasnia ya burudani walihudhuria
mazishi ya msanii huyo kutoka kundi la TMK Wanaume Family.
Mungu ailaze roho ya marehemu YP mahala pema Peponi. Amen.
0 comments:
Post a Comment