ANAITWA
Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 65, anaetokea south Afrika kwa
zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.
Nani ajuaye kama
kweli alishawahi kwenda huko,but inawezekana ikawa kweli pia,mara ya
kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya hapo alienda pia mwaka 2004, 2006 na
2008 kwa mfululizo
Yote
hayo yalianza mwaka 1993,alipotembelewa na mtu mweupe (inawezekana
malaika) na akamwambia kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.
Baada ya
kutembea mbinguni alifanikiwa kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi
tusio na bahati hiyo ya kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho ana
kisema ..
Ramani ndiyo hiyo hapo chini
Hii ndio Ramani ya mbinguni iliyochorwa na mthembu
0 comments:
Post a Comment