Sunday, October 12, 2014

KITUKO CHA MWAKA!!! ATEMBEZWA UTUPU MTAANI ILI ACHANGIWE FEDHA ZA KUFANYIWA TOHARA

KIJANA mmoja nchini Kenya alilazimishwa kutembezwa akiwa mtupu mtaani ili kuchangisha fedha za kumuwezesha kufanyiwa tohara.
Hatua hiyo ilikuja baada ya kijana huyo kudai hana pesa ya kwenda kufanya tohara na wanaume wenzake kuamua kumtembeza mitaani ili aweze kusaidiawa kupatiwa kiasi cha pesa kitakachomwezesha kufanyiwa huduma hiyo.
Kiongozi wa kundi lililokua likimtembeza mitaani Peter Mwogera alisema lengo la kumzungusha mitaani uchi ni kutaka jamii ya watu wa Githurai waamini kuwa kijana huyo alikua hajafanyiwa tohara.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI