Sunday, October 12, 2014

ANGALIA PICHA ZA BASI LA HAPPY NATION LILILOPATA AJALI HEDARU KWA KUGONGANA NA GARI DOGO

AJALI imetokea muda mchache uliopita eneo la HEDARU mkoani kilimanjaro ambapo gari ndogo limezama chini ya basi la kampuni ya HAPPY NATION kama unavyoona hapo kwenye picha.

Inadaiwa watu wote waliokuwa kwenye gari dogo wamepoteza maisha ingawa bado haijathibitishwa rasmi na vyombo husika.

Kwa mujibu wa mdau wa mtandao huu amesema polisi wameshafika eneo la tukio kuendelea na taratibu zao na taarifa zaidi utaendelea kuzipata hapa hapa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI