Wednesday, October 15, 2014

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA NYELE ZA BEYONCE AKITOEA PARIS NA FAMILIA YAKE!!! *PICHAZ*

 FAMILIA ya Carters yaani Jay Z, mkewe Beyonce na mtoto wao Blue Ivy Carter wameonekana katika hali nzuri licha ya vyombo vya habari kuishambulia ndoa yao kwa muda katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita.
Wakiwa katika uwanja wa ndege jijini London wakitokea mapumzikoni huko Paris, wawili hao walionekana wachangamfu kama kawaida huku Jay Z akionekana kumbeba mwanae Blue Ivy.
Muonekano mpya wa nywele wa mwanamama Beyonce ndio uliowaacha wengi katika mshangao mkubwa, ambapo wengi wamesema amependeza sana.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI