"Naomba kidogo nizungumzia haya mambo ya miss Tanzania kutokana na uzoefu wangu kidogo...mm nilisha wahi kuwa miss Tabata number 3 na nikaenda Ilala na pia nilisha shiriki Mara kazaa Dodoma ... Kwa kifupi mimi sishangai sana kuhusu sitti kupewa taji kwa njia ambayo si halali kwa sababu Mara nyingi warembo wanao shinda huwa wana jijua na wanapangwa... Mfano mzuri baada ya mimi kushinda miss Tabata nilipo enda Ilala kalikumtima muandaaji aliniambia kuwa Kama ningekua karibu na waandaaji ninge shinda kwa kweli sijamuelewa kabisa kwa nn alitumia hiyo kauli... Pia mshindi wetu wa miss Tabata alikua anatembea na mdhamini wetu... Tatu kuna tofauti unaona hasa wakati wa mazoezi kuna warembo huwa wanawekwa sana karibu na waandaaji kuliko wengine na inatokea wao ndio washindi ! Na katika mashindano niliwahi kushiriki wanashinda watu ambao hutegemei na hawana vigezo kwa hiyo kwa mimi hili sioni ajabu sema lime bainika tu Lkn mtindo wa uchakachuaji upo tu na utaendelea kuwepo... Kifupi Kamati ya miss Tanzania ni mbovu huwa haitende haki na si wao tu kuanzia chinni ...... Kwa mfano hapa juzi nilimsikia wema redioni alisema aliombwa kushiriki na akaambiwa atakua miss Tanzania ... Sasa jiulize unapo ambiwa hivyo na warembo wengine wapi kwenye mashindano hapo inaleta picha gani ??? Mna ndio maana warembo hawajitokezi kwa sababu hakuna haki .... Binafsi mimi sio sitti tu kuna warembo wengi ambao siwakubali na ninao wakubali ni wachache sana sizani Kama wanazidi watano... Lkn wa kwanza miss Tanzania ninae mkubali kuliko wote ni Happiness Magesa wengine ni kufikiria"
Sunday, October 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Navy Kenzo is Tanzanian afro pop/dance duo consisting of Aika – female singer/rapper and Nahreel – singer/ major award winning produ...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaan...
-
Idris Sultan akimtambulisha kwa mashabiki wa Dar Live ms?hikaji wake aliyekuwa naye kwenye mjengo wa BBA, Samantha wa Afrika Kusini. ...
-
Kisiwa cha Hawaii MMILIKI wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kau...








0 comments:
Post a Comment