Thursday, October 9, 2014

EBOLA YAZIDI KUUWA RAIA KWA KASI NCHINI SIERRA LEONE

Miili ya waathirika wa Ebola ukiwa katika mitaa ya Sierra Leone baada ya timu ya mazishi kwenda kwenye mgomo.huku wakinamama wakilia kwa uchungu baada ya wezao kupatwa na ugonjwa huo. 
 Vijana wakijitolea wakizika miili hiyo katika seemu maalumu zilizotengwa.

Mtaalamu wa kujitolea akiwa amevaa suti kujikinga na Ebola.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI