Wednesday, October 1, 2014

CHEKI HARUSI YA GEORGE CLOONEY NA MKEWE AMAL ALAMUDDIN *PICHAZ*

clooney 1 
MUIGIZAJI maarufu duniani aliyewahi kutangazwa kama kijana mwenye mvuto zaidi George Clooney ’53’ amefunga ndoa na Mchumba wake ambaye ni mwanasheria Amal Alamuddin kwenye sherehe iliyochukua dakika 30 huko Italia.
clooney 2Matt Damon  Pia Alikuwepo. 
Matt Damon Pia Alikuwepo.
 Kiongozi wa U2 Bono
Kiongozi wa U2 Bono Clooney na Mke Wake Alamuddin   
Clooney na Mke Wake Alamuddin
clooney 4

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI