Saturday, September 6, 2014

WASANII WAONESHA MOYO WA HURUMA NA KUTOA MISAADA KATIKA AJALI YA MABASI YALIYOGONGANA MUSOMA

Msanii Shiole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali iliyotokea mjini  Musoma.
Nay wa Mitego akikabidhi moja ya misaada iliyotolewa na baadhi ya wasanii wa Serengeti Fiesta muda mfupi baada ya ajali.
Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya kuahirishwa kwa Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Musoma jana.
Wasanii na crew ya Serengeti Fiesta wakati wakitoa misaada hiyo.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mara akitoa ripoti ya marehemu na majeruhi wa ajali.
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya leo Musoma wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya ajali.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI