Tuesday, September 2, 2014

TAZAMA SIMBA ALIVYOVAMIA GARI LA WATALII, UNAJUA NINI KILITOKEA? JIONEE HAPA! *PICHAZ*

gallery_673_54_25907
VIPO vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi.
gallery_673_54_20905
Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena,
Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia.
gallery_673_54_25907gallery_673_54_29804
gallery_673_54_53541
gallery_673_54_7938gallery_673_54_4163gallery_673_54_4191gallery_673_54_20692gallery_673_54_20172
The lion smashed one of the windows...
Simba alivunja moja ya kioo cha gari hilo…
...and made a mess of the paint and bodywork with his claws
…Na kucha makucha yake katika upande mmoja wa gari hilo.
gallery_673_54_7390
Chanzo Tabia Nchi Blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI