Tuesday, September 2, 2014

KUTANA NA TOP TEN LIST YA WASANII WA NIGERIA WANAONGOZA KWA KUMILIKI MAGARI YA KIFAHARI

Msanii wa kwanza ni msanii Davido ambaye anajulikana kwa kumiliki magari ya kifahari kama Chevrolet Camaro ambapo mpaka sasa anamagari 6 kwenye yparking yake ya magari lilingine alilonalo ni pamoja na G-Wagon
 
Wiz kid anaingia kwenye list hii akiwa anamiliki gari aina ya  Porsche Panamera 
 
Msanii Jim Iyke ambaye ni masanii wa maigizo kutoka Nollywood anaingia kwenye list hii akiwa namiliki magari aina ya Plymouth Prowler pamoja na  Camero SS.
 
Msanii mwingine ni pamoja na Daniella Okeke anayemiliki gari aina ya Range Rover.
 
Msanii mwingine ni pamoja na Ebube Nwagbo anayemiliki gari aina ya 2013 Honda.
  
Wa mwisho ni pamoja na msanii Halima Abubakar anayemiliki gari aina ya Porsche.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI