Friday, September 12, 2014

STAA WA FILAMU NCHINI MAREKANI GABRIELLE UNION NA MUMEWE DWAYNE WADE WAJA TANZANIA KWAAJILI YA HONEYMOON *PICHAZ*

noma 2
BAADA ya kufunga ndoa mnamo August 30, Star mkubwa wa filamu Gabrielle Union na mume wake mcheza kikapu wa timu ya miami heats Dwayne Wade wamekuja Tanzania kwaajili ya Fungate yao ya mwezi moja kama walivyotangaza awali.
Wakiwa Tanzania wameweza kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti na kupata picha na wamasai wa huko.
noma 3

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI