Thursday, September 11, 2014

MKUTANO WA BAVICHA WAFANYIKA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwaongozi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema kuimba wimbo wa taifa wakati wa mkutano huo. 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), ambaye amemaliza muda wake,  John Heche akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Baadhi ya watu wakinunua fulana za Chadema wakati wa Mkutano Mkuu wa Bavicha.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa katika mkutano huo.
(Picha zote na Francis Dande)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI