Friday, September 26, 2014

KUTANA NA KAKA YAKE RAISI WA MAREKANI BARACK OBAMA

RAIS wa Marekani Barack Obamma ana kaka yake aitwaye Mark Obama Ndesandjo ambaye ameshare baba mmoja na Rais ya wa marekani, Baba yao alifunga ndoa na mama yake Ndesanjo lakini baadae waliachana na kufunga ndoa na mama yake Barack Obama aliyejulikana kwa jina Ann Dunham.
Obama akiwa kwa Bibi yake, nchini Kenya.
Picha yao ya pamoja

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI