Saturday, September 6, 2014

KIM KARDASHIAN ASHINDA TUZO YA JARIDA LA GQ, WOMAN OF THE YEAR AWARD!!! *PICHAZ*

  Kim akipozi katika zuria jekundu, akionyesha alichojaaliwa na muumba.
 Kim akipozi katika zuria jekundu

 Kim akiingia ukumbini
 Nice couple!!!!!!
 Jamaa haambiwi hasikii kwa mrembo huyu mwenye mvuto wa pekee.!
 Ooooooh!!
 Mmmmmh!!!!
  Akiteta jambo na mumewe Kanye  West kimahaba…..!
 Akiteta jambo na mumewe Kanye  West
Kim akishikilia Tuzo yake aliyotunukiwa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI