Monday, September 1, 2014

ANGALIA PICHA ZA KILI MUSIC TOUR 2014 TANGA

0
TAMASHA la Kili Music Tour limekamilisha awamu ya kuzunguka mikoani kwa show iliyofana katika uwanja wa Mkwakwani Tanga. 
Tamasha hilo linalidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager lilipambwa na burudani toka kwa wasanii wanaofanya vizuri nchini wakiongozwa na malkia wa mipasho Khadija Kopa na mfalme wa taarab Mzee Yusuph ambao waliongoza kundi la wasanii kumi kutoa burudani kwa wakazi wa Tanga.
Tamasha hili sasa linarejea jijini Dar es Salaam ambapo Jumamosi Septemba 6 litahitimishwa katika viwanja vya Leaders Club.
Tamasha la Kili Music Tour limekamilisha awamu ya kuzunguka mikoani kwa show iliyofana katika uwanja wa Mkwakwani Tanga. 
Tamasha hilo linalidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager lilipambwa na burudani toka kwa wasanii wanaofanya vizuri nchini wakiongozwa na malkia wa mipasho Khadija Kopa na mfalme wa taarab Mzee Yusuph ambao waliongoza kundi la wasanii kumi kutoa burudani kwa wakazi wa Tanga.
Tamasha hili sasa linarejea jijini Dar es Salaam ambapo Jumamosi Septemba 6 litahitimishwa katika viwanja vya Leaders Club.
13(1)45.15678910111213141516171819(1)20

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI