Wednesday, August 6, 2014

NUH MZIWANDA AACHANA NA SHILOLE

Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo.
Nuh-Mziwanda
Maelezo ya Nuh Mziwanda yamedai kuwa sababu zilizosababisha waachane ni msg ambayo aliikuta kwenye simu ya Shilole ambayo inasemekana ilitumwa na mwanaume, Nuh alipomwambia Shilole apige alionekana kujikanyaga.
Nuh Mziwanda kaongea hayo na Soudy Brown kwenye You heard ya Cloudz Fm na kazungumza mambo mengi ambayo yametokea kwenye uhusiano wao.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI