Friday, August 8, 2014

MSANII WEMA SEPETU ALIVYOCHAFUA HUKO INSTAGRAM, ANGLIA ALICHOKIFANYA, NI BALAA!!!

ESMA (Dada ake Diamond), WEMA, MARTIN KADINDA
HIVI karibuni aliyekuwa miss Tanzania na msanii wa filamu Wema Sepetu almaarufu kama mke mtarajiwa wa Diamond aliweka picha kadhaa katika ukurasa wake wa Insta na kuandika hivi:
" Naanza hivi... Maana i havent posted pics tokea juzi if i aint mistaken... Si mnanijua nikianza... Tusichokane tu... Dat was siku ya Eid... At my place... Nikiwa na wii akee @esmaplatnum pamoja na kaka manager @martinkadinda...
WEMA
Wema na Ommy Dimpoz
Wema na Martin Kadinda
ESMA (Dada ake Diamond), Wema na Martin Kadinda
Wema na Martin Kadinda
  

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI