Friday, August 8, 2014

MSANII LINEX ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHAMA HIKI HAPA MWAKA 2015


 BAADHI ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars aitwaye  Linex Mjeda.
 Amekua wazi kutaja chama ambacho anategemea kugombania nafasi yake ya ubunge aliyosema kuwa tayari ana jimbo anasubiri muda tu na chama alichosema anategemea kugombea ni chama kipya cha ACT.
Soudy Brown amemuuliza maswali mengi ikiwemo kama kweli ana kadi ya chama  na  ni  nani  mwenyekiti  wa  chama  hicho,sikiliza alichojibu hapa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI