Monday, August 18, 2014

MAJIBU YA MENINAH KUHUSU KUTOKA NA DIAMOND


Screen Shot 2014-08-15 at 2.22.56 PM
MWANZONI mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambae ni Diamond Platnumz ambapo kupitia Leo Tena ya Clouds Fm Meninah amekubali kuongelea hii. 
Matano aliyoyasema Menina:
Sina uhusiano wowote na Diamond Platnumz. 2.Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa Dodoma kwenye uzinduzi wa video ya Miaka 50 ya Muungano. 3.Sijawahi kuwasiliana nae hata namba yake ya simu sina kwenye simu yangu. 4.Mimi napenda uhusiano wao kati yake na Wema Sepetu. 5.Nampenda Wema kama dada yangu na namkubali Diamond Platnumz kama msanii mwenzangu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI