MAKUBWA!!!,
MACHANGUDOA nchini India ambao wanapatikana zaidi katika eneo la Sonagachi, Kolkata, wagomea kutoa huduma ya ngono kwa raia wa Afrika kutokana na kuogopa kuambukizwa ugonjwa wa Ebola, ambapo ugonjwa huo umeshika kasi sana katika nchi za afrika ya magharibi.
“We have requested the sex workers not to entertain Africans as it can be a life risk for them if they get infected by the highly contagious Ebola virus causing havoc in some West African countries,”
0 comments:
Post a Comment