Friday, August 8, 2014

HUYU NDIE ASKOFU WA KIMATAIFA WA KIKE ALIEJICHORA TATUU KWENYE MATITI YAKE *PICHAZ*

KUNA dhana kuwa watu huambiwa kutofuata matendo ya mchungaji bali kufuata maneno yake...
Anakwenda kwa jina la mhubiri/Mchungaji Latascha Emanuel kutoka marekani....
Swali pekee linaloendana na mchungaji huyu mwanamama ni je aliamua kujichora tatuu hizo kabla hajawa mchungaji au baada ya kua mchungaji na je, inamaana gani hiyo tatuu na kwanini iwe eneo hilo, au ndio anataka iwe ni sehemu ambayo waumini wake wanakosentreti wakati akiwa anatoa upako? au ni vipi?????
Maana kiukweli haya mambo yanachanganya eti...!
Amakweli ni wakati wa wanawake kuongoza katika makanisa...!
Haya sasa Unapohubiri watu wanaangalia tatuu katika maziwa yako je wataelewa hilo neno au wataishia kutenda dhambi??
Ni mawazo tu na maswali ambayo wengi wanajiuliza.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI