Saturday, August 2, 2014

HII NDO KUFURU YA BILIONEA MAARUFU HAPA AFRIKA ALIYO FANYA KATIKA GRADUATION YA MTOTO WAKE HUKO UINGEREZA

BILIONEA maarfu kutoka hapa Afrika ajulikanaye kwa jina la Femi Otedola kutoka Nigeria amefanya kufuru kwenye graduation ya mwanaye ajulikanaye kama Dj Cupppy ambapo Thamani ya pesa aliyotumia ni sawa na kiasi cha kuwasomesha watoto watano kutoka Kindergarten mpaka Elimu ya chuo kikuu.
Sasa kama hii ni graduation ndoa yake itakuwaje,Binti huyu alikuwa akisoma chuo cha Kings’ College kule London ambapo ameachia album yake mpya ijulikanayo kwa jina la House of Cuppy picha zingine hizi hapa….!















0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI