Tuesday, August 12, 2014

EXCLUSIVE..!! MSANII LIL WAYNE AJITANGAZA KUWA ANA VIRUSI VYA UKIMWI

 KUPITIA ukurasa wake wa Twitter Lil Wayne Amekiri Kuambukizwa Virusi Vya Ukimwi. 
Bado Haijafahamika Kama Alipata Maambukizi Hayo Kupitia Ngono au Kutokana na Kuongezewa Damu.
Lil Wayne Ataingia katika Orodha Ya Mastaa Wanaoishi na virusi vya Ukimwi Akiwemo Gwiji wa Mpira wa Kikapu Magic Johnson.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI