Video za Baadhi ya matukio ya ufunguzi wa serengeti fiesta 2014 jijini Mwanza Usiku wa tar 09/08 ndani ya uwanja wa Mpira wa CCM Kirumba, Historia imeandikwa na maelfu ya wakazi wa Mwanza walijitokeza kushuhudia burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava kama Diamond Platnumz, Madee, Chege Na Temba, Mkubwa na Wanae, Young Killer, Stamina, Young D, Edu Boy, K Style, Mr Blue, Nyandu Tozi, Makomando, Jokate ambaye alipiga show ya muziki kwa mara ya kwanza na wengine kibao.
Sunday, August 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani kw...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Profesa Ali Mazrui enzi za uhai wake. MSOMI mashuhuri wa masuala ya kisiasa, utamaduni wa Kiafrika na dini ya kiisilamu wa nchi...
-
Pepe Reina (Wa tatu kushoto waliokaa) akiwa na kikosi kipya cha Bayern Munich ambacho amejiunga nacho kwa pauni milioni 2. ...







0 comments:
Post a Comment