Thursday, August 7, 2014

AJALI… BODABODA YAUA MWENDESHA BAISKELI TANGA!

Mwili wa kijana aliyegongwa na bodaboda na kupoteza maisha hapohapo.

Bodaboda iliyomgonga kijana huyo.
Raia walioshuhudia tukio wakimchukua mwendesha bodaboda kwenye gari.
Raia wakimwangalia kwa karibu kijana aliyegongwa na bodaboda.
BODABODA yamtoa uhai mwendesha baiskeli ajali hiyo imetokea kwenye makutano ya barabara ya Polisi messi Chumbageni Tanga.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI