NI nadra sana kuona wanyama wanaosifika kwa kuwala wenzao mbugani kuonekana wakipambana, katika picha hizi zilizopigwa na mtaalam wa masuala ya teknolojia kutoka San Francisco nchini Marekani, Richard Chew aliyekuwa kwenye mapumziko na mke wake kwenye mbuga ya Maasai Mara iliyopo Kenya aliweza kunasa tukio la mamba akipambana na Simba mwenye njaa wakigombea mzoga wa kiboko aliyekufa, nisikuchoshe, hebu tiririka nazo mwenyewe…..!!!!
Wednesday, July 30, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
MAMBO vipi ndugu zangu? Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nanyi wapendwa wasomaji wa blog hii. Tumshukuru Muumba wetu kw...
-
Unaweza kushangaa na kuona ni kitu cha ajabu lakini hii imetokea ambapo mwanamke ambaye alifanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin ikiw...
-
Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile k...
-
KABAANG! Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amedaiwa kumfumania ‘laivu’ mchumba wake Siwema akiwa kitandani na ‘s...
-
Wasanii wa filamu, kutoka kushoto; Jacob Steven 'J B', Vicent Kigosi 'Ray', Irene Uwoya, Wema Sepetu na ...






0 comments:
Post a Comment