MSANII mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay hivi karibuni amekuwa katika maandalizi ya video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inayoitwa KIPI SIJASIKIA.
Video hiyo ambayo imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level inatarajia kuonekana muda si mrefu.
Hizi ni baadhi ya sehemu tu zinazowaonesha Diamond, P. Funk na mwenyewe Prof J wakiwa katika maandalizi hayo.
Diamond kama wakili wa Profesa J
Wakiendelza na kutengeneza video mahakamani.
0 comments:
Post a Comment