Shabiki aliyekasirika akila jezi ya Brazil baada ya timu hiyo kufungwa 7-1 na Ujerumani katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia


Mwanamitindo, Alessandra Ambrosia na Adriana Lima pia waliangalia mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia Brazil ikifungwa 7-1 na Ujerumani.
Wengine wanachoma bendera, yani ni shida tupuuu
Mwanadada akiwa na hasira mpaka basi baada ya kipigo.






0 comments:
Post a Comment