Tuesday, July 15, 2014

LINAH SANGA FT DIAMOND PLATNUMZ - KIZAIZAI

NI ngoma ambayo ni kama remix ya kizaizai iliyofanywa na platnumz siku za nyuma.
Ambapo hapa imemkutanisha Ngololo master na mkali kutoka THT Linah ikiwa ni zawadi kwa mashabiki wao.
Imetengenezwa na Tuddy Thomas, isikilize hapa!!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI