Wednesday, July 30, 2014

BARACK OBAMA AWATOROKA WALIZI WAKE NA KUZAMIA MGAHAWANI KULA BURGER *VIDEO*

RAIS wa marekani Barak Obama kwa mara nyingine, ametokea kuvunja sheria zake kama rais na kujichanganya na wananchi wa kawaida kama ilvyo tabia yake, hivyo kutokea kuwapa shida walinzi wake. 
Obama aliwatoroka walinzi wake na kwenda kununua burger katika moja ya migahawa inayotumika na wananchi wa kawaida, tukio hilo lilizua uwepo mkubwa wa ulinzi kwa muda mchache tu..
ikiwa hii ni mara ya pili kwa tukio kama hilo kutokea…
Angalia kipande hiki cha video kikionyesha tukio zima…!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI