Wednesday, July 30, 2014

BAADA YA LADY JAY DEE KUSHINDA TUZO YA AFRIMA AFUNGUKA MANENO HAYA!

IJUE JUMLA YA IDADI YA TUZO ALIZOZIPATA LADY JAYDEE MPAKA SASA__TEAM UKWANZA SOMA HAPA
LADY Jaydee almaharufu kama Binti Machozi wa TEAM ANACONDA, ameweka wazi kua tangu alipo anza mziki mpaka sasa baada ya kupata tuzo ya mwanamziki bora wa kike wa Afrika Mashariki ya AFRIMMA iliyofanyika nchini marekani kwake ndio tuzo ambayo mpaka sasa imekamilisha idadi ya jumla ya tuzo thelathini (30) ambazo amezipokea mpaka sasa.
Hili kaweka wazi katika ukurasa wake wa facebook. 
ULIMWENGU WA HABARI unatoa pongezi kwa mwanadada Lady Jaydee (Commando) kwa mafanikio makubwa aliyoyapata kutokana na tasnia ya muziki, Hongera sana LADY JAYDEE

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI