Wednesday, July 30, 2014

ANGALIA PICHA 5 ZA RAY C AKIWA MTAANI KUHAMASISHA MATEJA KUACHA UNGA

 RAY C Foundation Wiki iliyopita tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!
tumeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala….
nimefurahi sana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa.
Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI